Nyerere aenziwa, wafungwa 4,887 wapata msamaha
Dar es Salaam. Katika kuadhimisha miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Rais Samia Suluhu Hassan, amezindua kitabu cha Safari ya Mwalimu Nyerere huku Serikali ikieleza ipo mbioni kuandaa vitabu vingine vya aina hiyo kumuhusu Amani Abeid Karume, ambaye ni Rais wa Kwanza wa Zanzibar. Mbali na hilo ametunuku nishani za Muungano kama ishara…