SERIKALI YAONDOA ZUIO LA BIASHARA NA USAFIRISHAJI WA MAZAO YA KILIMO KATI YA TANZANIA NA NCHI ZA MALAWI NA AFRIKA KUSINI

SERIKALI kupitia Wizara ya Kilimo ilitangaza tarehe 23 Aprili 2025, kuzuia mazao kutoka nchi za Afrika Kusini na Malawi kuingia katika mipaka ya Tanzania hadi hapo hatua zitakapochukuliwa kwa nchi hizo kuruhusu mazao yetu kuingia katika masoko yao. Kufuatia zuio hilo, Serikali za Malawi na Afrika Kusini zimewasiliana na Wizara ya Mambo ya Nje na…

Read More

ALII, HakiElimu kuwanoa vijana kwenye uongozi

Dar es Salaam. Katika kukabiliana na changamoto ya vijana kujitenga na masuala ya siasa na uongozi, umezinduliwa mpango wa kukuza uongozi kwa vijana kwa lengo la kulea kizazi kipya cha viongozi wenye mabadiliko kuanzia ngazi ya jamii. Lengo kuu la mpango huo uliozinduliwa jana, Aprili 25, 2025, ni kukabiliana na changamoto zinazozidi kuongezeka kama vile…

Read More

BALOZI NCHIMBI NDANI YA NYAMONGO, TARIME

***** Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wananchi wa Nyamongo, Tarime vijijini, aliposimama kuwasalimia wakati akiendelea na ziara yake ya siku tano katika maeneo mbalimbali ya wilaya za Mkoa wa Mara, leo Jumamosi tarehe 26 Aprili 2025.  

Read More

Mume aliyeua mke kisa njaa afungwa kifungo cha nje

Sumbawanga. Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga, imemhukumu David Godfrey kutumikia kifungo cha nje cha miezi 12 baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua mkewe, Hawa Selemani, bila kukusudia kutenda kosa hilo. Katika hukumu aliyoitoa Aprili 24, 2025, Jaji Thadeo Mwenempazi amesema Hawa (marehemu) ndiye kiini cha mauaji kwa kutomjali mume wake aliyekuwa na njaa,…

Read More

Kilio mgawanyo fedha za mfuko wa jimbo

Dodoma. Mbunge wa Jang’ombe, Ali Hassan Omar maarufu King ameibua malalamiko kuhusu mgawo wa fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo, akieleza hauna usawa. Ameibua malalamiko hayo jana, Ijumaa Aprili 25, 2025, alipochangia hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) kwa mwaka wa fedha 2025/26. Waziri…

Read More

Profesa Kabudi aeleza sababu za kuandikwa kitabu cha Nyerere

Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi, amesema kukosekana kitabu cha kusisimua kupitia picha na maisha, ndiyo sababu iliyofanya kuandikwa kitabu cha Julius Nyerere ili kuenzi mchango wa mwasisi huyo wa Taifa. Profesa Kabudi ameeleza hayo leo Jumamosi, Aprili 26, 2025, wakati wa uzinduzi wa kitabu cha Mwalimu Julius…

Read More

RC Macha ataka waajiri wawaruhusu wafanyakazi kushiriki Mei Mosi

Shinyanga. Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha amezindua rasmi wiki ya maadhimisho kuelekea Siku ya Wafanyakazi Duniani itakayofanyika Mei mosi, 2025, huku akitoa wito kwa waajiri wote kuwaruhusu wafanyakazi wao kushiriki kikamilifu katika shughuli hizo. Akizungumza na wananchi leo Jumamosi, Aprili 26, 2025, wakati wa uzinduzi wa maadhimisho hayo  uliofanyika katika uwanja wa Kambarage…

Read More

Wasira amtumia salamu Martha Karua

Dodoma. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amemjia juu mwanasiasa na mwanasheria wa Kenya, Martha Karua, akimtaka aache kujipima uzito na chama hicho, akisema hakina hofu na chama chochote cha upinzani na hakiwezi kuingilia majukumu ya Mahakama au Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC). Wasira ametia mguu kwenye sakata hilo,…

Read More