WASIRA AMTOLEA UVIVU MARTHA KARUA ALIYEJITOKEZEA KUMSAIDIA TUNDU LISSU
*Amwambia CCM haiwezi kuingilia Mahakama, iko tayari kwa uchaguzi Mkuu *Amtaka ache kujipima nguvu na CCM,aende kutatua shida za kwao Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Dodoma MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjia juu Mwanasheria maarufu na mwanasiasa wa nchini Kenya Martha Karua, ambaye amekuja nchini kumtetea Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na…