Dk Nchimbi akerwa na kauli za chuki kwa upinzani
Dar es Salaam. Kauli na nyimbo mbaya kwa upinzani, za kibaguzi na matendo yenye taswira yanayoweza kutafsiriwa kuwa ni kushabikia ukandamizaji wa haki za wananchi zimeendelea kumkera Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi. Ikiwa ni kwa mara ya tatu, jana Dk Nchimbi akiwa Shirati wilayani Tarime akiendelea na ziara ya siku…