Biteko: Tudumishe Muungano | Mwananchi
Arumeru. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewataka wananchi kuendelea kudumisha na kuuenzi Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kudumisha mshikamano na amani kwa maslahi mapana ya Taifa ili kuendelea kutekeleza malengo ya waasisi wa Muungano. Dk Biteko ameyasema hayo leo ikiwa ni siku ya tatu ya ziara yake mkoani Arusha,…