NAIBU WAZIRI MKUU DKT. BITEKO AKEMEA MIGOGORO ARUSHA 

  ……………….. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka viongozi kote nchini kuweka maslahi ya wananchi mbele na kuacha migogoro inayotokana na ubinafsi wao. “Hawa Watanzania hawataki migogoro yetu sisi viongozi na wakati mwingine migogoro tuliyonayo ni migogoro ya maslahi binafsi. Tumeacha kuwahudumia wananchi tunashughulikiana, tunataka huyu akwame, huyu afanikiwe…

Read More

Mambo matano kutikisa mkutano wa ushirika

Dodoma. Mambo matano yatazua mjadala katika kongamano la kitaifa la wanaushirika Tanzania, ikiwemo jinsi ya kuondoa umaskini. Mengine yatakayojadiliwa ni fursa za uwekezaji katika sekta ya ushirika, kuchochea ukuaji wa uchumi, historia na changamoto za ushirika nchini. Mbali na hilo, Rais Samia Suluhu Hassan atazindua Benki ya Ushirika Tanzania (CBT) Aprili 28, 2025, jijini Dodoma….

Read More

Mwinyi: Amani ni msingi mkuu maendeleo sekta ya miundombinu

Dar es Salaam. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema amani ya Tanzania ndiyo msingi mkuu wa maendeleo yatakayopatikana katika sekta mbalimbali ikiwemo ya miundombinu. Dk Mwinyi ameeleza hayo leo, Ijumaa Aprili 25, 2025, wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya Kibada–Mwasonga–Kimbiji kwa kiwango cha lami. Uwekaji wa jiwe la msingi katika…

Read More

MAANDALIZI YA TAMASHA LA “TWEN’ZETU KWA YESU” 2025 YAANZA RASMI, KUTAFANYIKA MARA MBILI JIJINI DAR

Maandalizi ya Tamasha kubwa la kiroho la “Twen’zetu kwa Yesu” yameanza rasmi kwa mwaka huu wa 2025, huku likitarajiwa kufanyika mara mbili tofauti kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwake mwaka 2014. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Katibu Mkuu KKKT-DMP, CPA Goodluck Nkin, amesema kuwa , tamasha la kwanza litafanyika…

Read More

David Ouma afunguka Singida BS kupotezea Muungano

BAADA ya kuaga mapema michuano ya Kombe la Muungano inayofanyika Pemba, Zanzibar, kocha wa Singida Black Stars, David Ouma amewataka wachezaji kusahau kilichopita na kuelekeza macho kwenye ligi na Kombe la F, ambako bado wanayo nafasi. Singida ilitupwa nje ya mashindano hayo na mabingwa wa Zanzibar, JKU kwa penalti 6-5 baada ya dakika 90 kumalizika…

Read More

Mapato ya uvuvi yaongezeka Ziwa Tanganyika

Dodoma. Baada ya kuzuiwa kwa muda uvuvi katika Ziwa Tanganyika, Serikali imesema mavuno ya samaki yameongezeka na kufikia tani 38,999.82 katika kipindi cha miezi minne baada ya kufunguliwa, hivyo kuingiza Sh324.85 bilioni. Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Alexander Mnyeti amesema hayo bungeni leo Ijumaa Aprili 25, 2025 alipojibu swali la Mbunge wa Nkasi Kaskazini,…

Read More

Mtanzania Dk Mwapinga achaguliwa Katibu Mkuu FP-ICGLR

Luanda, Angola. Kuimarika kwa diplomasia ya Tanzania na ushirikiano wa kikanda, Mtanzania Dk Deo Mwapinga ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa Jukwaa la Mabunge ya Nchi Wanachama wa Mkutano wa Kimataifa wa Kanda ya Maziwa Makuu (FP-ICGLR). Uteuzi wake umefanyika baada ya kuungwa mkono kwa kauli moja na Maspika wa Mabunge ya Kitaifa ya nchi…

Read More