VIONGOZI CCM TUHIMIZE WANANCHI KUPIGA KURA – DKT. BITEKO
Mgombea Ubunge Jimbo la Bukombe, Ndugu Doto Mashaka Biteko amewahimiza viongozi wa Chama cha Mapinduzi ngazi Vitongoji, Vijiji na Kata kuhamasisha wananchi kujitokeza kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu ujao utakaofanyika Oktoba 29, mwaka huu. Dkt. Biteko amesema hayo Septemba 10, 2025 katika Kata ya Ng’anzo wilayani Bukombe ambapo amesema Mgombea wa Urais kwa tiketi ya…