Hizi hapa teknolojia mpya za kukabiliana na malaria

Wabunifu wa teknolojia duniani wameendelea kuvumbua njia mpya za kuua mbu, matibabu na chanjo, ikiwa ni njia ya kutokomeza ugonjwa wa malaria, ambao ni tishio kwa kusababisha vifo vya maelfu ya watu duniani. Teknolojia mbalimbali, ikiwemo ya kubadilisha vinasaba (DNA) itambulikayo kwa jina la ‘Genetic biocontrol’ zina uwezo wa kuifanya malaria kuwa sehemu ya historia….

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Kagera Sugar kilichobaki ni miujiza tu

ILIKUWA suala la wazi wazee wa makarasha, KenGold wasingebakia Ligi Kuu Bara kwa vile walionyesha dalili nyingi za kurudi Championship. Hawakuwa timu iliyoweka dhamira ya dhati ya kubaki licha ya kufanya usajili wa wachezaji wengi dirisha dogo la usajili lililoanza Disemba 16 mwaka jana na kumalizika Januari 15, mwaka huu. Ingekuwa siriazi, ingepambana kuhakikisha wachezaji…

Read More

Dhibiti hivi kisukari unapougua malaria

Wagonjwa wa kisukari wanakumbana na changamoto mbalimbali katika kudhibiti afya zao, na hali huwa ngumu zaidi pale wanapougua magonjwa mengine kama vile malaria. Malaria ni ugonjwa unaoambatana na homa kali, kutetemeka, maumivu ya mwili na kichefuchefu, dalili ambazo pia zinaweza kufanana na zile za kupanda kwa sukari. Kwa hali hiyo, ni muhimu sana kuelewa jinsi…

Read More

Yanga yaweka rekodi nyingine | Mwanaspoti

KIKOSI cha Yanga kinatarajiwa kuondoka jijini Dar es Salaam leo Ijumaa kwenda visiwani Zanzibar kwa ajili ya ushiriki wa michuano ya Kombe la Muungano 2025 iliyoanza jana, huku ikiwa imeandika rekodi nyingine ya kibabe katika mechi 24 ilizocheza tangu ilipopoteza katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga imepangwa kuvaana na KVZ kesho Jumamosi katika mchezo wa…

Read More

Vifukuza mbu hivi ni salama?

Leo ni siku ya kimataifa ya Malaria Duniani, chini ya mwavuli wa Shirika la Afya Duniani (WHO). Siku hii huadhimishwa Aprili 25 ya kila mwaka. Kaulimbiu ya mwaka huu 2025 inasema “Tuimalize Malaria; Wazia tena, Wekeza tena, Anzisha tena”. Takwimu za WHO zinaonyesha kuwa kila baada ya dakika moja, kifo kimoja hutokea duniani kwasababu ya…

Read More

Siku 15 ngumu kwa Simba SC

SIMBA tayari ipo Sauzi ikiendelea kujifua kujiandaa na mchezo wa marudiano wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, Stellenbosch, huku kocha wa kikosi hicho, Fadlu Davids akikabiliwa na mtihani mgumu zaidi mbele yake. Mchezo huo utakaochezwa Jumapili hii nchini Afrika Kusini, Simba itaingia uwanjani ikiwa na faida ya ushindi wa bao…

Read More

Wanasayansi wataja mbinu kutokomeza malaria Tanzania

Wakati leo dunia ikiadhimisha Siku ya Malaria, imeelezwa kuwa takribani asilimia 86.2 ya watu nchini (sawa na watu milioni 58) wako kwenye hatari ya kupata malaria, huku watoto walio chini ya umri wa miaka mitano na wanawake wajawazito wakiwa kwenye hatari kubwa zaidi. Kwa wastani, kiwango cha maambukizi ya malaria nchini Tanzania ni asilimia 8.1,…

Read More

Wachezaji saba wafukuzwa katika timu kwa tuhuma za kubeti

Uongozi wa timu ya Junguni United iliyopo Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL) umewafukuza wachezaji saba wa timu hiyo kwa tuhuma za kujihusisha na michezo ya kubashiri matokeo ya mchezo (betting). Wachezaji hao walibeti katika michezo miwili waliocheza na Malindi pamoja na New City. Hayo yameelezwa katika taarifa iliyotolewa na Katibu wa Junguni, Suleiman Mwidani ambaye amesema,…

Read More

WAZIRI BITEKO ATOA SIKU MBILI KWA RC-ARUSHA,DC NA DED LONGODO KUHAKIKISHA MAABARA YA SAMIA SEKONDARI INAFANYAKAZI,AHUTUBIA AKINYESHEWA MVUA AKATAA MWAMVULI AMLAMBISHA LAKO TANO FASTA MPISHI

 Na Joseph Ngilisho-LONGIDO NAIBU waziri Mkuu na waziri wa Nishati Dotto Biteko amemwagiza Mkuu wa Mkoa wa Arusha , Mkuu wa wilaya ya Longido na Mkurugenzi wa halmashauri ya Longido kuhakikisha maabara ya kemia na baiolojia  katika shule ya sekondari ya sayansi ya wasichana ya Longido Samia inafanyakazi haraka iwezekanavyo.   Dkt Biteko ametoa agizo…

Read More