Kilio chaanza kwa wauza tufaa, zabibu
Dar es Salaam. Marufuku iliyotolewa na Serikali kwa bidhaa za kilimo kutoka Afrika Kusini na Malawi, imewaathiri wafanyabiashara wa tufaa (apple) na zabibu jijini Dar es Salaam. Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kupitia kituo cha luninga cha Azam, Aprili 23 mwaka huu alitangaza kuanza utekelezaji wa zuio kwa bidhaa hizo baada ya Aprili 17 kupitia…