Dk Nchimbi awatwisha zigo wajumbe wa CCM

Mara. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amewataka wajumbe watakaopiga kura za maoni, wachague wagombea kwa kuwasikiliza wananchi wanamtaka nani apitishwe ili wampigie kura kwenye Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu. Sababu ya kauli yake hiyo ni kile alichoeleza, ni kiu ya chama hicho katika uchaguzi wa baadaye mwaka huu, kupata…

Read More

Dereva basi lililoua abiria saba, asomewa mashitaka 29

Moshi. Dereva wa basi la Kampuni ya Mvungi Al-Adani Mruma, aliyesababisha ajali iliyoua watu saba na kusababisha majeruhi zaidi ya 42 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Moshi mkoani Kilimanjaro na kusomewa mashitaka 29. Ajali hiyo ilitokea Aprili 3, 2025 eneo la Kikweni, Kijiji cha Mamba, kata ya Msangeni, Wilaya ya Mwanga, mkoani humo baada…

Read More

Ambulensi iliyobeba maiti yawaka moto

Unguja. Watu wanane waliokuwa wanakwenda makaburini kuzika pamoja na mwili wa marehemu wamenusurika kuteketea baada ya ambulensi walimokuwamo kuwaka moto. Tukio hilo limetokea leo Aprili 24, 2025 saa 5:00 asubuhi eneo la Saateni, Mkoa wa Mjini Magharibi. Akizungumza na Mwananchi, Mkuu wa Operesheni wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi Zanzibar, Kamishna Msaidizi Haji Pandu Hamad…

Read More

JKU yaitupa nje Singida Black Stars Muungano Cup

JKU kutoka kisiwani Unguja, imefuzu nusu fainali ya Kombe la Muungano baada ya kuifunga Singida Black Stars ya Tanzania Bara kwa penalti 6-5 katika mchezo wa robo fainali ya kwanza uliochezwa leo Aprili 24, 2025 kwenye Uwanja wa Gombani, Pemba. Katika muda wa dakika tisini, timu hizo zilitoka sare ya mabao 2-2, huku Singida Black…

Read More

Shehena ya kemikali bashirifu yazuiwa kuingia Tanzania

Dar es Salaam. Kilo 14,000 za kemikali bashirifu zinazotumika katika utafiti na utengenezaji wa dawa kutoka barani Asia, zimezuiwa kuingia nchini kutokana na kukosekana vielelezo kuonyesha matumizi yake. Kemikali hizo ni kilo 4,000 za 1-Boc-4-piperidone na kilo 10,000 za Acetic anhydride ambazo zikichepushwa hutumika kutengeneza dawa za kulevya. Uzuiaji huo umefanywa na Mamlaka ya Kudhibiti…

Read More