Mradi wa Chuma Liganga ulivyo pasua kichwa
Moshi. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ameonyesha masikitiko yake kutokana na kutoanza kwa mradi wa Chuma Liganga, licha ya fidia kubwa kulipwa kwa watu walioathirika na mradi huo. Wakati ripoti hiyo ya CAG ya mwaka wa fedha 2023/2024 ikieleza hayo, Februari 18, 2025, Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo…