Gomez achekelea kombe la dunia
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco, Selemani Mwalimu ‘Gomez’ amesema licha ya kutokuwa na uhakika wa kucheza katika kikosi cha kwanza, lakini anafurahi kuwepo katika timu inayokwenda kushiriki michuano ya Klabu Bingwa ya Dunia. Michuano hiyo inatarajiwa kufanyika kati ya Juni 16 hadi Julai 13 nchini Marekani na Wydad…