2025
Kugonga usawa endelevu kati ya mifugo na mazingira ni muhimu kwa Africas siku zijazo – maswala ya ulimwengu
Maoni na Daouda Ngom (Dakar, Senegal) Ijumaa, Aprili 18, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Dakar, Senegal, Aprili 18 (IPS) – pr. Daouda Ngom, Waziri wa Mazingira na Mpito wa Ikolojia kwa Senegalin nchi yangu, Senegal, karibu asilimia 70 ya ardhi yetu hutumiwa kulisha mifugo. Hapa na kote Afrika, wachungaji na walindaji wa mifugo huendeleza…
CHALAMILA DAR NI SALAMA AELEZA MAFANIKIO NA MIPANGO YA MAENDELEO
***** Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April 18,2025 amefanya mkutano na waandishi wa Habari katika ukumbi wa Hotel ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam katika mkutano huo amefafanua mambo mbalimbali ikiwemo usalama wa Mkoa, jumbe zinazozagaa juu ya mafuriko na hatua zinazochukuliwa na Serikali, Kasi ya ulipaji kodi,…
Nyumba za wageni zaanza kujaa Zbar kabla ya Simba, Stellenbosch kukipiga
Ikiwa imesalia siku moja kabla ya mechi ya nusu fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba na Stellenbosch, hali ya Zanzibar imeanza kubadilika kwenye maeneo ya makazi karibu na Uwanja wa New Amaan. Taarifa kutoka eneo hilo zinaeleza kuwa nyumba za kulala wageni na hoteli ndogo katika maeneo ya Mwanakwerekwe, Amaan,…
Straika Stellenbosch aingiwa ubaridi, adai Simba ni hatari
Kwa mara nyingine macho na masikio ya wapenda soka yataelekezwa Zanzibar, Jumapili hii, pale Simba itakapoumana na Stellenbosch ya Afrika Kusini katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika utakaopigwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex. Katika kuelekea mchezo huo mshambuliaji wa Stellenbosch, Andre Ernest de Jong, raia wa New Zealand,…
JAMII YATAKIWA KUTEMBELEA MAENEO YA MALIKALE
Mhifadhi Mkuu Mambo ya Kale na Mkuu wa Kanda ya Magharibi Makumbusho na Malikale anayesimamia uhifadhi na uendelezaji maeneo ya kusini mwa Tanzania Lindi na Mtwara Revocatus Bugumba akizungumzia siku ya Kimataifa ya Malikale ambayo hufanyika tar 18 April ya kila mwaka. Mhifadhi Mkuu Mambo ya Kale na Mkuu wa Kanda ya Magharibi Makumbusho na…
Maaskofu watema nondo kuelekea uchaguzi mkuu
Dar es Salaam/mikoani. Kilio cha haki katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba, 2025, ni miongoni mwa mambo yaliyochukua nafasi kubwa kutoka kwa viongozi wa dini ya Kikristo nchini, ikiwa ni sehemu ya ujumbe wao katika mahubiri ya Ibada ya Ijumaa Kuu. Wameambatanisha ujumbe huo na msisitizo kwa Watanzania kuhakikisha wakati huu wa kuelekea uchaguzi, wanatumia…
Askofu aishusha hadhi Parokia ya Ugweno, yarudi kuwa kigango
Same. Jimbo Katoliki la Same limeipunguzia hadhi Parokia ya Ugweno, iliyoko wilayani Same mkoani Kilimanjaro na kuifanya kuwa kigango. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya kubainika waamini wa parokia hiyo kutokuwa na ushirikiano na Paroko wao. Hali hiyo imetajwa kuathiri utendaji wake wa kazi za kitume na za jimbo kwa ujumla. Uamuzi huo ulitangazwa jana Alhamisi…
Shahada masomo ya kichina sasa kufundishwa UDSM
Dar es Salaam. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kinatarajia kuanzisha shahada nyingine itakayojikita katika masomo ya Kichina na Kiswahili lengo likiwa kuongeza wigo na fursa ya soko la ajira. Hayo yamesemwa leo Ijumaa Aprili 18, 2025 na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma hicho, Bonaventure Rutinwa, katika ufunguzi wa mashindano ya awali ya lugha…
Waliostaafu Soko la Kariakoo kulipwa Sh306 milioni
Dar es Salaam. Jumla ya Sh306 milioni zinatarajiwa kulipwa na Shirika la Masoko Kariakoo kwa madeni ya waliokuwa watumishi wa Soko la Kariakoo. Taarifa hiyo imetolewa leo Ijumaa Aprili 18, 2025 na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Masoko ya Kariakoo, Hawa Ghasia wakati wa kikao cha Kumi cha Bodi hiyo kilichoketi jijini…