Wasira: CCM haina namna ya kuwasaidia wabunge wazembe
Tabora. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakitakuwa na namna ya kuwasaidia wabunge wake waliopewa nafasi ya kuwawakilisha wananchi, lakini wakashindwa kuitendea haki. Kimesema msimamo wake kwa sasa ni kupata wagombea wanaokubalika na wananchi, ndiyo maana kimebadili utaratibu wa kura za maoni na mchujo. Katika mchakato wa kura za maoni, chama hicho kwa sasa kimeongeza wajumbe…