Lissu, mawakili wake wapinga kesi kusikilizwa kwa njia ya mtandao
Dar es Salaam. Mwenyikiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amegomea kesi yake ya kuchapisha taarifa za uongo kwa njia ya mtandao wa Youtube kusikilizwa kwa njia ya video na badala yake anataka kesi hiyo isikilizwe kwa njia ya wazi. Taarifa hiyo imetolewa leo Alhamisi, Aprili 24, 2025 na askari magereza mwenye…