Lissu kizimbani tena leo, Polisi, Chadema wakitunishiana msuli
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu (57), anayekabiliwa na kesi za jinai, leo Alhamisi, Aprili 24, 2025 anatarajiwa kupandishwa tena kizimbani. Lissu anakabiliwa na kesi mbili tofauti za jinai katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Mkoa wa Dar es Salaam, moja akikabiliwa na shtaka moja la uhaini na…