INEC yajiridhisha walioomba kugawanywa Majimbo

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Balozi Omar Ramadhani Mapuri ameongoza kikao cha pamoja kati ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Wadau wa uchaguzi wa Jiji la Dar es Salaam na Manispaa ya Temeke ikiwa ni kujiridhirisha juu ya taarifa zilizotumwa wakati wa maombi ya…

Read More

Gambo achutama, aomba radhi bungeni

Dodoma. Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo ameomba radhi Bunge na kufuta maneno aliyoyatoa dhidi ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa. Gambo alimtuhumu bungeni, Waziri Mchengerwa kwamba amesema uongo wakati akitoa maelezo ya Serikali dhidi ya tuhuma ambazo mbunge huyo aliziibua bungeni. Aprili…

Read More

Gambo akubali yaishe, aomba radhi na kufuta kauli

Dodoma. Wakati wa kuhitimisha mjadala wa leo, Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema kuna ombi la Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo anataka kusema jambo. Amesema kwa kutumia kanuni namba 70 ya kanuni za Kudumu za Bunge Tolea la Februari 2023 anampa nafasi ya kusema ambayo inasema kutokusema uongo Bungeni. Mapema leo Jumatano Aprili…

Read More

MONDULI :BITEKO AAGIZA KUCHUKULIWA HATUA KALI WANAOSABABISHA MIGOGORO YA ARDHI

Na Joseph Ngilisho Arusha  NAIBU Waziri Mkuu wa Waziri wa Nishati, Dk, Dotto Biteko amesema viongozi mbalimbali watakaobainika kuuza ardhi au kuleta migogoro kwa wananchi watachukuliwa hatua pale itakapobainika. Aidha amesema serikali itafanya kila namna kuhakikisha wafugaji nchini wakiwemo wa wilaya ya Monduli wanaendelea kuimarika na kuheshimika na kuwa daraja la juu kwa sababu mifugo…

Read More