Umuhimu wa mipango ya kifedha na elimu ya fedha wakati wa uzeeni
Ni vigumu kama ni kijana kuamini kuwa uzee unaweza kukukuta haraka sana. Uzee unafuatana na mambo mbalimbali ikiwamo kuwa na maarifa. Dunia pia inabadilika sana na majanga mbalimbali yametoa fundisho mbalimbali kwa jamii kuhusiana na umuhimu wa kuweka mipango ya kifedha na elimu ya fedha uzeeni. Maisha marefu ni neema, lakini yanazalisha “hatari ya maisha…