Uhaba wa Wanawake Katika Nafasi za Maamuzi Zanzibar changamoto inayohitaki kutatuliwa
Na Nihifadhi Abdulla Zanzibar LICHA ya Zanzibar kuwa na idadi kubwa ya wanawake kwa asilimia 52 ya wakazi wake, wanawake bado ni wachache mno katika nafasi za maamuzi. Hali hii inasababisha maswali kuhusu utekelezaji halisi wa usawa wa kijinsia unaozungumzwa kila mara. Katika kuhakikisha Wanawake wanapata haki ya uongozi kwakuzingatia usawa wa kijinsia wanaharakati mbalimbali…