Usichokijua kuhusu tahajudi kwa afya ya mwili, akili na roho
Kwa wanaotembelea mahekalu, ni nadra kutooana baadhi ya watu wakiwa katika mikao maalum huku wakitafakari kwa kina. Si mchezo wala watu nao hawajifurahishi. Wapo kwenye zoezi la tahajudi maarufu Kiingereza kwa jina la ‘ meditation’. Ni zoezi ambalo sio tu hufanyika hekaluni, bali mahala kokote kwenye utulivu mkubwa, kwa kuwa lina uhusiano na ulimwengu wa…