Katekista, wengine watatu wahofiwa kufa maji Ziwa Victoria

Musoma. Miili ya watu watatu wanaohofiwa kufariki dunia baada ya kuzama ndani ya Ziwa Victoria katika kisiwa cha Rukuba wilayani Musoma bado haijapatikana. Watu hao akiwamo Katekista wa Kanisa Katoliki Parokia Teule ya Rukuba Jimbo Katoliki la Musoma mkoani Mara, Cleophace Mganga (45) wanahofiwa kufariki dunia baada ya mtumbwi waliokuwa wakiutumia kuvua dagaa kupigwa na…

Read More

Beki Stellenbosch auogopa mziki wa Mpanzu

MECHI ya marudiano ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Stellenbosch dhidi ya Simba itakayopigwa Aprili 27, 2025 kwenye Uwanja wa Moses Mabhida, Durban nchini Afrika Kusini, imeendelea kugusa hisia za mashabiki huku kukiwa na presha kubwa kambini kwa Stellenbosch. Katika mchezo wa kwanza uliofanyika Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja,…

Read More

Yaliyojificha sakata la kipa Fountain Gate

Nyuma ya adhabu ya kusimamishwa kwa kipa John Noble wa Fountain Gate kuna sababu mbili kubwa ambazo zimefanya timu hiyo ambayo inatumia Uwanja wa Tanzanite Kwaraa Babati, Manyara kuchukua uamuzi huo. Muda mfupi baada ya Fountain Gate kupoteza mchezo dhidi ya Yanga kwa mabao 4-0 juzi Jumatatu kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, uongozi wa timu…

Read More

NIKWAMBIE MAMA: Mdharau mwiba huota tende

Bwana au bibi harusi anayekosa dukuduku siku ya harusi yake, ujue hana mzuka nayo. Ni lazima bibi harusi akaribie kuzimia wakati anasubiri jibu la “ndiyo ninakubali” kutoka kwa mumewe mtarajiwa. Kadhalika mwanamume ni lazima akumbwe na hali hiyo pale bi harusi anapovuta pumzi kabla ya kutoa jibu lake mwanana. Jibu hili ndiyo hatima ya ndoa…

Read More