Vigingi vitano wabunge wanaotetea nafasi zao
Dar es Salaam. Vikao vya kuhitimisha uhai wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vinatarajiwa kutamatika Juni 27, 2025. Katika kipindi hiki, wabunge wanaotarajia kutetea nafasi zao wanakabiliwa na mitihani mitano mikubwa, ikiwemo kujenga ushawishi miongoni mwa wajumbe wa vyama vyao ili kulinda kura walizovuna mwaka 2020 na kuongeza mpya. Changamoto nyingine…