Makardinali wafanya mkutano wa kwanza Vatican
Vatican. Mkutano mkuu wa kwanza wa makardinali umeanza asubuhi ya leo Aprili 22, 2025 ikiwa ni siku moja baada ya kifo cha Papa Francis (88). Kwa mujibu wa mtandao wa Vatican News, mkutano huo ulidumu kwa saa moja na nusu, kuanzia saa 3:00 hadi saa 4:30 (saa za Ulaya). Imeelezwa waliokuwa katika mkutano huo uliofanyika…