Taasisi 78 hatarini kushambuliwa kimtandao
Dar/Arusha. Taasisi 78 za umma ziko hatarini kukumbana na mashambulizi ya kimtandao, kuhatarisha taarifa nyeti pamoja na ufanisi wa utendaji kazi wa taasisi husika endapo zisiporekebisha usalama wao wa mtandao. Hayo yanajiri baada ya ukaguzi uliofanywa na Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mwaka wa ukaguzi wa mifumo ya teknolojia…