VITONGOJI 82 TARIME VIJIJINI KUPELEKEWA UMEME NA MRADI WA HEP IIB-KAPINGA

………………………… 📌Taasisi 3000 zaunganishiwa umeme na fedha za Covid 19 Vitongoji 82 ambavyo bado havijafikiwa na umeme katika Wilaya ya Tarime mkoni Mara vitapelekewa umeme kupitia Mradi wa Kupeleka Umeme Vitongojini Awamu ya Pili B  (HEP IIB) ambapo tayari zabuni ya kuwapata wakandarasi wa mradi huo imeshatangazwa na inatarajiwa kufunguliwa hivi karibuni. Hayo yameelezwa na…

Read More

Masauni aja na hoja sita 4R za Rais Samia

Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Hamad Masauni, ametaja mafanikio sita yaliyopatikana nchini kupitia falsafa ya 4R ya Rais Samia Suluhu Hassan, yakiwemo vyama vya siasa kufanya shughuli zao kwa uhuru. Mbali na mafanikio hayo, Masauni amesema falsafa hiyo ni daraja la kuimarisha Muungano wa Tanganyika na…

Read More

Dorothy achukua fomu kumvaa Samia urais Tanzania

Dar es Salaam. Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amechukua fomu kugombea urais kupitia chama hicho katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Kiongozi huyo ndani ya chama hicho anakuwa wa pili kuomba ridhaa ya kuongoza Tanzania, baada ya Mwenyekiti wa chama hicho, Othman Masoud Othman kuchukua na kurejesha fomu Aprili 13, 2025 akiomba…

Read More

TPF Net GALA YAPAMBA MOTO-SONGWE.

Na Issa Mwadangala Askari Polisi wa kike Mkoani Songwe wajidhatiti kuendelea kiuchumi na kuwa na afya bora ya akili na mwili kwa kufanya semina, sherehe na midahalo mbalimbali ili kuendelea kujiimarisha kiuchumi. Kauli hiyo imetolewa Aprili 22, 2025 na Mwenyekiti wa Mtandao wa Polisi Wanawake Mkoa wa Songwe (TPF- Net) Mkoa wa Songwe Kamishina Msaidizi…

Read More

Heche adakwa na Polisi Kariakoo, apelekwa Central

Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, John Heche, amekamatwa na Jeshi la Polisi alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara eneo la Kariakoo jirani na soko jipya la vyakula. Kwa wa taarifa ilizopata Mwananchi jioni hii ya leo Jumanne Aprili 22, 2025 kutokea eneo la tukio, baada ya kuanza kuhutubia…

Read More

Mapito ya Komu na tafsiri ya kisiasa

Dar es Salaam. Mwanasiasa mashuhuri nchini Tanzania na kada wa zamani wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Anthony Komu, ametangaza kurejea rasmi katika chama chake cha awali, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Akizungumza baada ya kujiunga tena na chama hicho, Komu amesema anaamini mwelekeo wa sasa wa Chadema wa kurudi kwa wananchi ni sahihi na unaotia…

Read More

Watafiti wagundua dawa asilia kuotesha nywele wenye vipara

Arusha. Watafiti wa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (Tawiri) wamegundua dawa ya asilia yenye uwezo wa kuzuia nywele kukatika lakini pia kuotesha nywele kwa watu wenye vipara. Pia wamefanikiwa kugundua dawa ya kung’arisha ngozi na kuondoa makunyanzi yanayotokana na uzee. Katika ugunduzi wa kwanza wa dawa ya kuotesha nywele kwa watu wenye vipara, imetokana…

Read More