300 wafanyiwa upasuaji wa macho
Mbeya. Watu 4,000 waliofanyiwa vipimo na madaktari bingwa wa macho wamebainika kuwa na uoni hafifu, kati hao 300 wamefanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya. Katika idadi hiyo watu 3,400 walimepatiwa miwani ya macho bure kulingana na ukubwa wa tatizo, huku watoto wawili wamepewa rufaa ya matibabu zaidi katika Hospitali Rufaa ya Taifa…