Bei ya mafuta: Nafuu kwa watumiaji, kilio kwa wazalishaji
Katika siku za hivi karibuni, soko la mafuta duniani limejikuta kwenye mtikisiko mkubwa unaosababishwa na vuta nikuvute ya kisiasa kati ya mataifa makubwa, mabadiliko ya kiuchumi duniani, na mikakati mipya ya Jumuiya ya Nchi Wazalishaji wa Mafuta (OPEC+). Kushuka kwa kasi kwa bei ya mafuta ghafi duniani kumeibua wasiwasi wa mdororo wa kiuchumi katika baadhi…