Srelio yastukia jambo, JKT ikijibu mapigo

BAADA ya uongozi wa Chama cha Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BD) kutangaza kwamba ligi mkoani humo (BDL) itachezwa katika mzunguko mmoja timu ya Srelio imeshtukia jambo na sasa imepanga kuwashusha nyota wake mapema jijini humo ili kujiandaa kwa ajili ya mashindano hayo. Kocha wa timu hiyo, Miyasi Nyamoko amesema klabu yake imejipanga kushusha…

Read More

SAMIA AWARDS SASA KUFANYIKA MEI

……………. Hafla ya utoaji wa Tuzo za Uandishi wa Habari kwa Maendeleo zinazojulikana kama Samia Kalamu Awards 2025 sasa itafanyika jijini Dar es Salaam tarehe 5 Mei 2025, tofauti na ratiba ya awali iliyopangwa tukio hilo kufanyika tarehe 29 Aprili 2025 katika Ukumbi wa Mabele, Mabeyo Complex, jijini Dodoma. Taarifa rasmi iliyotolewa kwa vyombo vya…

Read More

 Doa la CAG utoaji elimu bila malipo

Dar es Salaam. Ripoti ya ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, imebainisha kuwa jumla ya Sh1.25 bilioni za kugharimia elimu bila malipo, hazikufika kwa mamlaka husika. Katika ripoti hiyo iliyokabidhiwa kwa Bunge wiki iliyopita, jumla ya mamlaka 15 za serikali za mitaa hazikufikishiwa fedha kamili, hatua ambayo ripoti imetaja kuwa ina…

Read More

Kikao cha Taoussi, Blanco chaanza kujibu

KOCHA wa Azam FC, Rachid Taoussi, amefichua kwamba kikao alichofanya na mshambuliaji Jhonier Blanco juu ya kutathimini kiwango chake kisha kuanza kufanya mazoezi binafsi, kimeanza kuleta matumaini huku akikiri kuwa amechelewa kufanya hivyo. Blanco huu ni msimu wake wa kwanza akiitumikia Azam aliyojiunga nayo akitokea Rionegro Aguila ya kwao Colombia. Hadi sasa amefunga mabao matatu…

Read More

Wahitimu wetu wana mawazo mbadala?

Katika nchi yetu jitihada za kuboresha mfumo wa elimu zinaendelea na wengi wetu tunatoa maoni yetu kwa njia mbalimbali. Ni sahihi kwamba tumeanza kufanya mabadiliko kiasi fulani na hii ni hatua nzuri. Leo nataka kufanya tafakuri kuhusu uwezo wa wahitimu wetu kutambua na kuheshimu mawazo tofauti ya watu wengine.  Je, wahitimu wetu wanathamini mawazo mbadala?…

Read More

Dk Nchimbi kuzuru wilaya tano mkoani Mara

Bunda. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi anatarajia kuanza ziara ya siku sita mkoani Mara, ikiwa ni mwendelezo wa ziara za viongozi wa chama hicho kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya 2020/25. Katika ziara hiyo, Dk Nchimbi na baadhi ya wanasiasa ndani ya chama hicho, watatembelea wilaya zote tano za…

Read More

Yanga yashinda ikiweka rekodi rekodi tatu

MABINGWA watetezi, Yanga wameendelea kunyatia ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Fountain Gate, katika mchezo uliopigwa Jumatatu hii kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo Babati mkoani Manyara huku ushindi huo uliofanya Yanga kufikisha pointi 70, umeweka rekodi tatu ndani ya kikosi hicho. Rekodi ya kwanza inamuhusu…

Read More