Timu ya taifa ya Futsal kuanza na Madagascar
ALHAMISI wiki hii Timu ya Taifa ya Wanawake ya Futsal itashuka Uwanja wa Salle Moulay Abdellah jijini Rabat, Morocco kwenye mchezo wa kwanza wa makundi dhidi ya Madagascar kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika la Futsal kwa Wanawake mwaka huu. Mashindano hayo yaliyoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) yatafanyika Morocco kuanzia…