Waliofariki ajalini Iringa kuagwa kesho
Mafinga. Miili ya watu sita kati ya saba waliofariki dunia katika ajali ya gari la kubebea wagonjwa lililogongana na pikipiki ya magurudumu matatu, maarufu ‘Guta’ inatarajiwa kuagwa kesho Jumatatu Aprili 21, 2025. Inaagwa miili sita, kwa sababu mmoja tayari umeshatambuliwa na kuchukuliwa na ndugu zake. Ajali hiyo ilitokea Aprili 19, 2025, saa 12:30 asubuhi katika…