
TAKUKURU TANGA YAOKOA FEDHA ZA SERIKALI MILIONI 76,048,459.1
Na Oscar Assenga,TANGA. TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imefanikiwa kuokoa kiasi cha Milioni 76,048,459.1 baada ya kuwafikisha mahakamani waliokuwa watumishi wa umma kwa tuhuma za ubadhirifu na ufujaji wa Fedha za Umma katika wilaya za Kilindi, Korogwe na Tanga Jiji. Tuhuma ambazo zilikuwa zinawakabili ni kutokuwasilisha fedha ambazo ni mapato ya Serikali…