ACT Wazalendo kushiriki uchaguzi, waeleza sababu
Unguja. Kamati ya Uongozi ya ACT Wazalendo imeridhia kwa kauli moja kwamba chama hicho kishiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 huku kikitaja sababu tatu ikiwamo ya kupigania mabadiliko katika mifumo ya uchaguzi. Uamuzi huo umefanyika jana Aprili 15, 2025 mjini Unguja, Zanzibar katika kikao cha Kamati ya Uongozi kilichokaa na kupitisha uamuzi huo utakaokiwezesha chama…