Mbinu za kutatua migogoro kwenye ndoa
Uhusiano wa watu wengi umefikia katika hali mbaya na mwingine kufa kabisa, huku wanandoa wakiachana katika maumivu na majeraha makali ya moyo. Chanzo kikubwa kikiwa kutojua kwao kuishughulikia migogoro inayojitokeza katika uhusiano wao. Mara nyingi katika ushauri tunasema shida sio kujikuta ndani ya migogoro bali shida ni namna mnavyoishughulikia migogoro hiyo. …