
Kesi ya Dk Slaa kutajwa leo Mahakama ya Kisutu
Dar es Salaam. Kesi ya kusambaza taarifa za uongo kwenye Mtandao wa X inayomkabili wanasiasa mkongwe nchini, Dk Willibrod Slaa (76) itatajwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Dk Slaa anadaiwa kutenda kosa hilo chini ya kifungu cha 16 cha Sheria ya Makosa ya Mtandao namba 14 ya mwaka 2015….