
Simba hii, ikipata penalti mmekwisha!
ACHANA na matokeo ya mechi za jana ikiwa fungua dimba raundi ya 17 kwa Ligi Kuu Bara, kama hujui ni kwamba Simba ndio timu pekee iliyopata penalti nyingi kuliko yoyote ikiwa nazo saba huku zote ikiweka kambani. Yaani kwa kifupi kila timu inayocheza na Simba ni lazima iwe na tahadhari ya kufanya madhambi langoni mwake,…