TRC, ofisi ya mtaa wachukua hatua kivuko cha SGR
Dar es Salaam. Kutokana na kujaa maji katika karavati ambalo wananchi wanalitumia kama kivuko kupita kwenye reli ya umeme (SGR) maeneo ya Gongolamboto jijini Dar es Salaam Shirika la Reli Tanzania (TRC) na ofisi ya serikali za mitaa wamechukua hatua kushughulikia tatizo hilo. Hayo yamesemwa leo Jumanne Aprili 15, 2025 na mwenyekiti wa Serikali ya…