
Jela maisha kwa kubaka mtoto wa miaka mitano
Mbeya. Mahakama ya Wilaya ya Kyela Mkoa wa Mbeya, imemhukumu kutumikia kifungo cha maisha Kiswigo Mwakalinga (20) mkazi wa Kijiji cha Ibale kwa kosa la kubaka mtoto wa miaka mitano. Hukumu hiyo imesomwa Januari 28, 2025 mbele ya Hakimu mkazi, Paul Barnabas baada ya kuridhishwa na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo pasipo shaka. Awali, mwendesha mashtaka…