Mbunge akataa kura za kuongezewa kwenye sanduku
Dodoma. Mbunge wa Mbogwe (CCM), Nicodemus Maganga amewataka wasimamizi wa uchaguzi mkuu kutenda haki ili watoe matokeo sahihi bila kuongeza kura wala kupunguza. Maganga amesema mgombea akipewa kura sahihi kwenye uchaguzi itasaidia Taifa kuwa na viongozi sahihi wenye hofu ya Mungu kuliko kama watapatikana viongozi watakaopita kwa nguvu ya wasimamizi. Ametoa kauli hiyo leo Jumanne…