Stellenbosch yapata pigo, kocha akuna kichwa
KIKOSI cha Stellenbosch kilitarajiwa kutua nchini jana tayari kwa pambano la kwanza la nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Simba, huku ikipata pigo. Kocha huyo, amekiri kikosi chake kimeifuata Simba kwa ajili ya mchezo huo utakaopigwa Jumapili kwenye Uwanja wa New Amaan, Zanzibar bila ya mshambuliaji muhimu, Ashley Cupido aliyeumia…