
Huyu anamkaba Gomez Wydad AC
WIKI iliyopita Singida Black Stars iliripoti kuwa imemuuza mshambuliaji wake Mtanzania Selemani Mwalimu ‘Gomez’ kwenda Wydad AC ya Morocco. Kwenye eneo la ushambuliaji, Gomez atakutana na upinzani kutoka kwa Mohamed Rayhi, raia wa Uholanzi ambaye ni chaguo la kwanza la kocha Rulani Mokwena. Rayhi ndiye kinara wa ufungaji kwenye ligi hiyo maarufu kama Botola Pro…