
Jafo aunda kamati kuchunguza biashara za wageni Tanzania
Dar es Salaam. Zikiwa zimepita siku tatu tangu Rais Samia Suluhu Hassan atoe agizo kwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo kuangalia wageni wanaofanya biashara zinazofanywa na wenyeji, waziri ameunda kamati ya watu 15. Rais Samia alitoa agizo hilo Januari 30, 2025, Ikulu jijini Dar es Salaam wakati wa halfa ya chakula cha…