SAKATA KUZUIA MAZAO: Wadau waunga mkono, watoa tahadhari
Dar es Salaam. Wakati Serikali kupitia Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ikitangaza itazuia mazao na bidhaa zote za kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini, wadau wameunga mkono hatua hiyo lakini wakitoa tahadhari kuwa ina athari za kiuchumi. Waziri Bashe kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii leo Arpili 17, 2025 amesema ifikapo Jumatano Aprili 23,…