
Waliofariki ajali ya basi, Rav4 Moshi watambuliwa
Moshi. Miili ya watu watatu waliofariki kwa ajali ya gari iliyohusisha basi la kampuni ya Esther Luxury na gari dogo aina ya Toyota RAV4 mkoani Kilimanjaro, imetambuliwa. Ajali hiyo imetokea leo asubuhi, Februari Mosi, 2025 katika eneo la Mdawi, Wilaya ya Moshi, mkoani humo, baada ya dereva wa gari dogo kugongana uso kwa uso na…