WASIRA AMJIBU MFUASI WA CHADEMA ALIYEMUOMBEA MSAMAHA TUNDU LISSU
*Asema CCM haina visasi na mtu ,sera yake ni ya maridhiano Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amewahakikishia Watanzania kwamba Chama hakina chuki wala kısası na mtu bali kinaamini kutekeleza sera ya maridhiano. Wasira ametoa kauli hiyo akiwa katika mkutano wa hadhara alipokuwa akizungumza na wana CCM wilayani Urambo…