Simulizi ya eneo alikofia mkurugenzi Tanesco

Bunda. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Pius Lutumo amesema chanzo cha ajali iliyokatisha uhai wa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Gissima Nyamo- Hanga ni dereva wa gari lake kumkwepa mwendesha baiskeli kisha kupoteza mwelekeo na kugongana uso kwa uso na lori lililokuwa mbele yao. Nyamo-Hanga na dereva wake, Muhajiri Haule…

Read More

Mkongomani kuamua Simba vs Stellenbosch CAFCC

Refa mzoefu Jean Jacques Ndala kutoka DR Congo ndiye amepangwa kuchezesha mechi ya kwanza nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya Simba na Stellenbosch ya Afrika Kusini kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Aprili 20 mwaka huu. Ngambo mwenye umri wa miaka 37, amewahi kuichezesha Simba katika mechi nne tofauti za kimataifa ambapo…

Read More

Hatari inayowakabili wanaume wenye matiti makubwa

Wanaume wenye matiti ambayo yametanuka (gynecomastia), wapo katika hatari ya kufa kabla ya kufika umri wa miaka 75, wanasayansi wamebaini. Watafiti wamefichua kuwa wanaume ambao wana maradhi kama saratani, matatizo kwenye mapafu ambayo hayajagunduliwa na magonjwa mengine sugu,  wapo katika hatari zaidi kufa ikiwa  wana matiti ambayo yametanuka. Mwanaume kuwa na matiti makubwa, husababishwa na…

Read More

Simulizi ya eneo alikofia Nyamo- Hanga

Bunda. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Pius Lutumo amesema chanzo cha ajali iliyokatisha uhai wa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Gissima Nyamo- Hanga ni dereva wa gari lake kumkwepa mwendesha baiskeli kisha kupoteza mwelekeo na kugongana uso kwa uso na lori lililokuwa mbele yao. Nyamo-Hanga na dereva wake, Muhajiri Haule…

Read More

BENKI YA STANBIC YAZINDUA “LIPA NA STANBIC” – SULUHISHO JIPYA LA KIDIJITALI KWA WAFANYABIASHARA NCHINI

• Benki ya Stanbic Tanzania yazindua “Lipa na Stanbic,” suluhisho la malipo ya kidijitali linalowezesha wafanyabiashara kupokea malipo kutoka kwa mitandao yote ya simu na benki zote moja kwa moja kwenye akaunti zao za benki, kwa haraka, usalama, na hivyo kurahisisha wa ukamilishaji wa mauzo. • Benki ya Stanbic, ambayo ni ya tatu kwa ukubwa…

Read More

Dk Biteko kuongoza maziko ya Mkurugenzi wa Tanesco

Bunda. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ataongoza maziko ya aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Gissima Nyamo- Hanga anayetarajiwa kuzikwa wilayani Bunda Mkoa wa Mara keshokutwa. Nyamo-Hanga na dereva wake, Muhajiri Haule walifariki dunia kwa ajali ya gari usiku wa kuamkia Jumapili, Aprili 13,2025 baada ya kupata…

Read More