
Sowah atupia Singida ikitesti mitambo Arusha
Singida Black Stars imeendelea kujifua ikiwa kambini mkoani Arusha na leo imejipima nguvu dhidi ya Mbuni na kushinda mabao 4-1. Singida imeweka kambi mkoani humo ikijiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara chini ya kocha wao mpya Mfaransa Miloud Hamdi. Kwenye mchezo huo mabao ya Singida yamefungwa na Marouf Tchakei na Arthur Bada,…