Mambo 10 ya kushangaza kuhusu mvua
Dar es Salaam. Unapohisi mpangilio ule ule wa matone ya mvua yakigonga ngozi yako, huenda usifikirie kuhusu sifa za kuvutia za mvua. Hata hivyo, mvua ni sehemu ya ajabu la dunia yetu ya asili inayoficha siri nyingi. Kwa mujibu wa Mtandao wa FoxWeather, mvua hupitia mabadiliko mbalimbali na hufuata mifumo fulani kutoka utengenezwaji wake juu…