WANAWAKE KUWEZESHWA KATIKA MATUMIZI YA TEHAMA – NAIBU KATIBU MKUU MPANJU
Na WMJJWM – Dodoma Serikali ya Tanzania inaendelea kushirikiana na Serikali ya Ujerumani katika uhamasishaji wa wanawake kutumia teknolojia ya habari na mawasiliano ili kukuza ujuzi pamoja na kujijenga wenyewe na kuleta usawa wa kijinsia. Hayo yamesemwa Aprili 16, 2025 jijini Dodoma na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi…