SERIKALI YAZINDUA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA TUNGAMAA PANGANI, WANANCHI ZAIDI YA 2500 KUNUFAIKA
Na Oscar Assenga,Pangani ZAIDI ya Wananchi 2500 wa Kijiji cha Tungamaa wilayani Pangani mkoani Tanga watanufaika na mradi wa Maji baada ya Serikali kutekeleza mradi katika eneo hilo uliogharimu kiasi cha Milioni 500 kupitia Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) Akizungumza wakati akizindua mradi huo ambao umetekelezwa kwa muda mfupi kwa kutumia Force Akaunti, kwa niaba…