Wataalamu kujadili teknolojia matibabu vidonda vya tumbo
Dar es Salaam. Ikiwa ni hatua ya kuelekea kuboresha matibabu ya vidonda vya tumbo, wataalamu wa magonjwa ya mfumo wa chakula wanatarajia kukutana kwenye kongamano la kisayansi litakalofanyika Mei 24, 2025, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam. Kwa sasa matibabu ya vidonda vya tumbo yanahusisha vipimo vya haja kubwa na damu kwa…